HIVI NDIVYO REAL MADRID WALIVYOSHANGILIA UBINGWA WAO.
Real Madrid wamenyanyua ndoo ya mabingwa Ulaya baada ya kushinda kwa matuta 5-3,lakini baada ya kukabidhiwa shangwe ilihamia mitaa mbalimbali ya jiji la madrid na hali ilikua kama inavyoonekana hapa.