Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Wema Sepetu Amempongeza Kim Kardashian Kwa Kutumia Lipstic yake

Wema Sepetu Amempongeza Kim Kardashian Kwa Kutumia Lipstic yake

Picha
Mnyange na mfanyabiashara wa vipodozi jijini Dar es salaam amempongeza her American counterpart kwa kuweza kutumia bidhaa zake za midomo.Hali hiyo ilitokea baada ya Kim kuweka picha yake kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram ambapo Wema alikoment maneno haya huku akitumia hashtags kibao: "Thank you sweetheart kwa kutumia bidhaa zangu #KissbyWema #TeamWema #MadamRange #TeamSonny #Wanawaketunaweza #huuMchezohauhitajiHasira #HapaKaziTu #MissTz2006 #BetAwards. Mimi binafsi nampongeza kama ni kweli kavuka mipaka