Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Kiwanda cha rangi kilivyoteketea kwa moto Dar usiku huu

Kiwanda cha rangi kilivyoteketea kwa moto Dar usiku huu

Picha
March 4 2016 moja ya tukio lililokusanya umati wa watu ni hii ya ghara la kuhifadhia rangi kwenye kiwanda cha Sadoline kilichopo maeneo ya tazara  Dar es salaam,   baada ya kuungua  moto ambao bado haujafahamika mpaka sasa nini chanzo chake. Kwa mujibu wa mkaguzi msaidizi wa jeshi la zima moto wilaya ya Kinondoni adam hamisi […]