Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya 000 NA WAAJIRI

SERIKALI YAWAUNGANISHA WATAFUTA KAZI 20,000 NA WAAJIRI

Picha
Frank Mvungi-Maelezo Serikali imefanikiwa kuwaunganisha Watanzania wanaotafuta kazi wapatao 20,000 ikiwa ni moja ya hatua ya kupunguza tatizo la ajira nchini. Kauli hiyo imetolewa na Msema i wa Wakala wa Huduma za Ajira nchini (TaESA) Bi Jamila Mbarouk wakati wa mkutano na vyombo vya habari leo jijini Dar es salaam. Akizungumzia watafuta kazi waliongushwa tangu kuanzishwa kwa wakala huo Jamila alisema kuwa wengi waliounganishwa walikuwa wahasibu, Makatibu muhtasi, wataalamu wa huduma za jamii.  “Jukumu letu letu ni kuwaunganisha watafuta kazi na waajiri ndani na nje ya nchi ili waweze kupata huduma hii kwa urahisi kwa kuzingatia sheria na kanuni za Ajira hapa nchini” alisisitiza Jamila. Katika kupanua huduma ili kuwafikia watanzania walio wengi Jamila amebainisha kuwa (TaESA) imefungua ofisi za Kanda katika Mikoa ya Dodoma,Mwanza, na Arusha . Mafanikio Mengine ni wakala kuendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo watafuta kazi 3185 ili kuweza kuhimili ushindani na cha...