Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Kikwete Ataka Vijana Duniani Wathaminiwe na Kuwezeshwa

Kikwete Ataka Vijana Duniani Wathaminiwe na Kuwezeshwa

Picha
Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete amesema,     ingawa   idadi kubwa ya vijana wasiokuwa na  uhakika wa maisha yao wala kazi zenye tija na staha wapo katika nchi zinazoendelea, dunia katika ujumla wake inapashwa  kuonyesha  utashi wa kisiasa na udhubutu   wa kuwekeza    kupitia vijana. Amesema,  mazingira   ya mamilioni ya vijana  kukaa bila shughuli ya aina yote kunatoa mwanya kwa vijana hao   kurubuniwa   na kutumiwa na watu wasiokuwa  na nia  njema na hivyo kutishia  hali ya Amani,  usalama na ustawi wa mwanadamu na hatimaye kushindwa kufikia au kupata faida za kidemografia na maendeleo endelevu. Mhe. Kikwete ameyasema   hayo  ( jumanne) hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, wakati alipotoa mhadhara   wa  13 wa kumbukumbu ya Rafael M. Salas. Mhadhara huu  ambao  mada yake  ilikuwa ni ...