Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Bashe: CCM ni Waoga

Bashe: CCM ni Waoga, Wanafiki na wa Kujipendekeza, Hatuna Sababu ya Kuendelea Kubaki Madarakani

Picha
Akichangia kwenye bajeti ya mali asili na utalii amewaambia wabunge na serikali kuwa hawajawahi kuweka malengo haswa ya kutatua matatizo ya wafugaji na waulima, wamekuwa waoga, wanafiki na wakujipendekeza Ameongezea CCM kwa wingi wao hawana sababu ya kuendelea kubaki madarakani kama wameshindwa kuishauri serikali kwa ukweli.