Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Riyama Afunguka Kutomsamehe Mtu Huyu kwa Kumdhulumu Pesa

Riyama Afunguka Kutomsamehe Mtu Huyu kwa Kumdhulumu Pesa

Picha
MWIGIZAJI mahiri katika tasnia ya filamu Bongo Riyama Ali amelalamikia madalali wa kazi za wasanii kwa kuwa chanzo cha dhuluma kwa wasanii wanaotengeneza filamu, huku wao wakijinufaisha na jasho lao akiongaea na FC Riyama amedai kuwa ametapeliwa kazi yake ya Kajala.  hajui jinsi gani umepata fedha hadi kuunga unga na kutoa filamu bila ya huruma mtu anakudhulumu mimi kazi yangu Kajala hadi leo nimetapeliwa na mtu aliyeuza kwa Steps amenilipa pesa kidogo na filamu imetoka ina muda sasa,”  Msanii huyu amelalamikia mfanyabiashara maarufu kwa filamu za zaga zaga jina tunalihifadhi kuwa alichukua kazi yake kwa makubaliano kuwa anajuana na msambazaji haiwezi kukaa foleni hivyo angepata malipo yake kwa wakati lakini ameambulia kupewa fedha kidogo huku mtu huyo hapokei simu na kumtishia kuwa yeye anajulikana.  Aidha Riyama amedai kuwa Serikali na vyama vya wasanii viangalie jinsi ya kulinda maslahi ya wasanii wanaibiwa sana,kwani kumekuwa na tabia ya udalali wa filamu k...