Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya HUFANYA VITU KAMA WAMEKATWA VICHWA

WABONGO KUNA MUDA HUWA WANAJITAKIA MATATZO WENYEWE,HUFANYA VITU KAMA WAMEKATWA VICHWA

Picha
Inapoelekea kwa sasa ni hatari maana kibao kimekataza kufanya biashara lakini yeye anafanya, sasa hapa lawama kwake au kwa  waliokiweka? hii nimeipata maeneo ya Njombe jamaa akiendelea kuuza mahindi ya kuchoma