Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Picha: Diamond na Mafikizolo Wakiwa Ndani ya Ukumbi wa Bunge Leo

Picha: Diamond na Mafikizolo Wakiwa Ndani ya Ukumbi wa Bunge Leo

Picha
Kundi maarufu la muziki kutoka Afrika Kusini Mafikizolo pamoja na staa wa bongofleva Diamond Platnumz leo walipata mwaliko wa kuingia Bungeni Dodoma ambapo mastaa hawa wapo Dodoma kwa ajili ya kupiga burudani  Chuo kikuu cha Dodoma.