RAIS WA ZANZIBAR MH. DK. SHEIN KATIKA ZIARA YA KICHAMA KISIWANI PEMBA
Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Wete Abrahmani Makame Shehe alipokuwa akisoma risala ya wilaya wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe,Dkt.Ali Mohamed Shein alipozungumza na Wanachama wa CCM Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo kwa ajili ya kuwapongeza kutokana na ushindi katika uchaguzi wa marudio wa mwezi machi mwaka huu,[Picha na Ikulu.]30/05/2016. Baadhi ya WanaCCM wakitetemka gari walipofika Viwanja vya Skuli ya Kiislamu ya Kiuyu Wilaya ya Micheweni Mkoa wa kaskazini Pemba wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe,Dkt.Ali Mohamed Shein alipozungumza na Wanachama wa CCM Wilaya hiyo leo kwa ajili ya kuwapongeza kutokana na ushindi katika uchaguzi wa marudio wa mwezi machi mwaka huu,[Picha na Ikulu.]30/05/2016. Viongozi wa Mashina,Wenyeviti na Makatibu wa maskani wakiwa ni Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Wete wakimsikiliza...