Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Shilole Akanwa Laivu Mchana Kweupe...Nedy Adai Hawana Mahusiano ya Kimapenzi

Shilole Akanwa Laivu Mchana Kweupe...Nedy Adai Hawana Mahusiano ya Kimapenzi

Picha
Bongo fleva super staa Nedy Music ambaye hivi karibuni amejiunga na lebel ya Ommy Dimopz ya Pozi Kwa Poz amekanusha uvumi kuwa Shilole ni Mpenzi wake...Akihojiwa Clouds FM amesema hana uhisiano wa Kimapenzi na Shilole  Awali Nedy alitajwa akuwa mpenzi wa Shilole baada ya staa huyu kuachana na Nuh Mziwanda.  Hii sauti ya Nedy akiongelea Issue Hii: