Nape Nhauye: Namheshimu Sana Edward Lowassa
Waziri wa Habari mheshimiwa Nape amesema anamheshimu sana aliyekuwa mgombea wa uraisi kupitia Chadema, Edward Lowasa kwani kuna mambo mengi ameyajifunza kwake! Source: Vichwa habari Magazetini. We should learn that, politics is not flexible. Leo unasema hivi, kesho unakana ama kugeuza kile ulichosema jana!