Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Hawafundishi

Zitto Kabwe Avunja Jungu: Nusu ya Walimu Wanalipwa Mishahara ya Bure, Hawafundishi

Picha
Baada ya Hussein Bashe kusema ni watu waliofeli, Zitto Kabwe nae amesema nusu ya walimu hawafanyi kazi na ndio 'watumishi hewa haswa' Ameongezea pia utafiti uliofanyika na Benki ya Dunia na REPOA ukitembelea ghafla kwenye shule za umma utakuta walimu hawapo shuleni Mtazame Hapa: