MNARA WENYE UREFU ZAIDI YA ULE WA DUBAI KUJENGWA KATIKA MJI MPYA WA JAPAN
Japan imepanga kujenga mji mwingine mzuri, Katikati ya mji kutakuwa na mnara wenye urefu wa ft 5,577 Utakuwa una urefu mara mbili zaidi ya ule wa Dubai Unaweza kuhifadhi watu 50,000 na utakuwa na gyms,hotel na huduma za afya Muundo wake utajulikana kama Sky Mile Mji huu utakuwa na pembe sita wakiamini pembe sita zina uwezo mkubwa wa kuthibiti upepo Lifti zake si kwamba zinakuwa na uwezo wa kukupeleka ghorofa moja hadi nyingine,bali zitakuwa na uwezo wa kukupeleka hadi katika chumba chako Mji huo utakamilika rasmi mwaka 2045 ,na utakuwa na nyumba 500,000