Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya MUIGIZAJI LUPITA NYONG'O :SINA TV YAKUANGALIA NYUMBANI KWANGU

MUIGIZAJI LUPITA NYONG'O :SINA TV YAKUANGALIA NYUMBANI KWANGU

Picha
Muigizaji wa Kenya, Lupita Nyong’o, amesema hutegemea marafiki zake kumpasha habari za kila siku.. “Similiki TV, lakini huwa napata habari kwa njia zingine,” alisema. “Nina marafiki ambao ni wasomaji wazuri wa habari, huwa wananipa muhtasari.” “Ni binadamu wanaofanya kazi kama app za habari, ni wa aina yake.” Muigizaji huyo ameliambia jarida la Stylist kuwa husafiri muda mwingi. CHANZO na Bongo5