Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Mafanikio ya Kituo Cha Uwekezaji Tanzania

Mafanikio ya Kituo Cha Uwekezaji Tanzania, TIC, Chini ya Julliet Kairuki

Picha
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!, japo huyu mama ametumbuliwa, sababu za utumbuzi huo, ni kitu kinaitwa "personal matter", and has nothing to do na utendaji wake TIC, ifike mahali Watanzania tuwe na shukrani kwa mazuri aliyoyatenda.  Mimi kama mwanahabari huru ninayejitegemea, nimeifanyia TIC kazi za kihabari, tangu enzi za TIC ya Samuel Sitta, TIC ya Ole Naiko na hii TIC ya sasa ya Julliet Kairuki, mafanikio yaliyopatikana katika kipindi cha miaka 3 tuu ya Juliet Kairuki, ni mara mia ya mafanikio yote yaliyopatikana katika kipindi cha Samweli Sitta na Ole Naiko put together!, hivyo huyu mama pamoja na hilo tatizo lake "personal" la mshahara, amekifanyia makubwa Kituo cha Uwekezaji, na kulifanyia makubwa taifa hili, kiasi cha kuifanya Tanzania kuwa ndio nchi inayoongoza kwa kuvutia wawekezaji kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, kitendo ambacho ni cha kustahili pongezi na kuenziwa na sio kubezwa kama hivi anavyobezwa sasa as if she did nothing!.  Wiki hii...