Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Makamu Wa Rais Mhe. Samia Azindua Jukwaa La Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Tanzania Na Akaunti Ya Malaika Leo

Makamu Wa Rais Mhe. Samia Azindua Jukwaa La Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Tanzania Na Akaunti Ya Malaika Leo

Picha
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Bi Samia Suluhu Hassan leo hii amezindua jukwaa la kuwezesha wanawake na akaunti maalum ya mikopo ya MALAIKA inayolenga kuwawezesha wanawake wa hali ya chini kiuchumi kupitia Benki ya wanawake katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam. Akiongea katika uzinduzi huo Mheshimiwa Samia Suluhu amesema kuwa lengo la kuanzishwa kwa jukwaa hilo ni kuwapa uwezo wanawake waweze kutoka katika sekta isiyo rasmi na kuingia katika sekta rasmi na hivyo kuwainua kiuchumi kwani mchango wa mwanamke mpaka sasa bado haujaongezeka thamani. Aidha Bi Samia ameagiza kuwa kuanzia sasa asilimia 35% ya tenda za serikali za mitaa ziende kwa wanawake na vijana ili kuwawezesha kiuchumi na kuwataka wanawake kubadilika kifikra na hata wanapopata mikopo hii wawe na nidhamu katika matumizi yake. Hata hivyo Mhe. Suluhu ametoa rai kwa mabenki kufikisha huduma zao vijijini ili huduma ya mikopo iwafikie wanawake wachangie uchumi wa dunia na sio tu kwa fami...