Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Jeuri ya Pesa: Bondia Floyd MayWeather Achoma Dola Hadharani

Jeuri ya Pesa: Bondia Floyd MayWeather Achoma Dola Hadharani

Picha
Bondia mwenye jeuri ya pesa Mayweather amechoma pesa hadharani $100 kwa kiberiti,mbele ya wapqmbe wake huku akishangiliwa na wapambe  Pembeni akiwa amezungukwa na warembo waki-massage massage mwili wake...Jamaa ana kufuru sana ya pesa