Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya WEMA SEPETU BAADA YA KUKEJELIWA NA HARMONIZE LAKINI BADO NI SHABIKI WAKE

WEMA SEPETU BAADA YA KUKEJELIWA NA HARMONIZE LAKINI BADO NI SHABIKI WAKE, MCHEKI HAPA

Picha
Hii imekua ni wiki mbaya kidogo kwa msanii  Harmonize  kutoka  WCB , mara baada ya video moja kusambaa sana mitandaoni ikimwonyesha akimtolea maneno ya Kejeli mwanadada  Wema Sepetu . Ukweli ni kua Wema ameumizwa sana na video ile hadi kuenea kwa habari ambazo hazijathibitishwa kua kamfungulia kesi  Harmonize . Ambacho  Harmonize  hakujua ni kua Wema ni shabiki wake mkubwa kwani ni zaidi ya mara moja wema ameonekana akiimba wimbo wa msanii huyo.  Na kitendo cha  Wema  kuona video ile kunaweza kufanya akaacha kua shabiki wa  Harmonize .Unaweza tazama video ya Wema Sepetu na Martin Kadinda wakiimba wimbo wa Harmonize hapa chini.