Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Hivi ndivyo Liverpool inavyoweza kuifanyia roho mbaya Man Utd isiweze kushiriki hata Europa

Hivi ndivyo Liverpool inavyoweza kuifanyia roho mbaya Man Utd isiweze kushiriki hata Europa

Picha
Kufuatia matokeo ya jana usiku ya Jumanne katika uwanja wa Upton Park, matumaini ya Manchester United kucheza kwenye michuano ya ulaya msimu ujao kuwa kwenye mashaka makubwa.    Kikosi cha Louis van Gaal kilisafiri mpaka West Ham wakiwa wanafahamu gika kwamba ushindi katika mechi ya jana na ya mwisho ya ligi dhidi ya Bournemouth ungewahakikishia nafasi ya kushiriki Champions League. Lakini Wagonga Nyundo wa London wakashinda 3-2, na sasa Man United wana hatari ya uwezekano wa kucheza msimu wa 2016-17 bila uwepo wa michuano wa ulaya yote.      Kufuzu Europa League  Chini ya sheria zilizopo, timu yoyote itakayomaliza nafasi ya 5 na 6 katika Premier League msimu huu basi itafuzu kucheza Europa League msimu ujao.  Kwa namna ilivyo, ikiwa West Ham waliopo nafasi ya 6 hivi sasa, nafasi moja nyuma ya Man United – wakifanikiwa kuifunga Stoke City katika siku ya mwisho ya ligi, basi watafuzu kucheza Europa League msimu ujao.  Fainali ya FA C...