Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya R.I.P Mchekeshaji Kinyambe

Msiba: Tasnia ya Filamu Tanzania imepata msiba, R.I.P Mchekeshaji Kinyambe

Picha
May 12 2016 ripoti zilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kwa baadhi ya mastaa wa filamu na Muziki nchini, kuhusiana nataarifa ya kufariki kwa mmoja kati ya wachekeshaji maarufu nchini Tanzania,  Mohammed Abdallah  (Kinyambe) kutoka kwenye maigizo ya Vituko Show.