Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Mirror Chini ya Management ya Wema Sepetu Umewaangusha Mashabiki Wako

Mirror Chini ya Management ya Wema Sepetu Umewaangusha Mashabiki Wako, Utawalipa Nini?

Picha
Marehemu Albert Mangwair alikuwa mtu wa mwanzo kutambua kipaji cha muziki alichokuwa nacho Mirror pamoja na Jordan.  Kwa mara ya kwanza watu walimtambua kwenye nyimbo yake ‘One and Only.’ Kiukweli huu ni wimbo mzuri ambao unaweza kuwarudisha karibu watu waliotengana kwenye mahusiano pindi watakapousikiliza wimbo huo.  Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi, shukrani za dhati zimuendee Wema Sepetu aka Madam Sepetunga, aliyefanikiwa kumchukua Mirror na kuanza kusimamia kazi zake za muziki chini ya kampuni yake ya ‘The Endless Fame’.  Miaka inazidi kwenda lakini bado hatujamuona yule Mirror ambaye tulimtarajia atakuja kuwa ni miongoni kati ya wasanii watakao hit ndani hadi nje ya Tanzania.  Ni takribani miaka mitatu mpaka sasa tangu Mirror awe chini ya menejimenti hiyo na tayari ameshafanikiwa kuachia nyimbo kadhaa kama, ‘Hapo Ulipo’ na ‘Naogopa’.  Japo ameweza kuwa chini ya menejimenti yenye uwezo mkubwa wa k...