Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya HAYA NDIYO MAAJABU 12 YA SAMAKI AINA YA NYANGUMI BAHARINI.

HAYA NDIYO MAAJABU 12 YA SAMAKI AINA YA NYANGUMI BAHARINI.

Picha
  Nyangumi ni mamalia wa bahari, au pengine wa maji matamu, katika oda Cetacea wanaofanana na samaki. Kwa hivyo hawatagi mayai kama samaki lakini huzaa watoto kama mamalia wote na huwanyonyesha.  Pamoja na nguva wanyama hawa ni mamalia wa pekee wanaoishi kwenye maji tu. Oda yao ina mnamo spishi 80. Spishi ndogo huitwa pomboo kwa kawaida na spishi kadhaa za pomboo huishi kwenye maji matamu ya mito mikubwa kama Ganges au Amazonas. 1. Moyo wa nyangumi una kilo 600, ukubwa wake ni sawa sawa na ukubwa wa gari ndogo 2.Mtoto wa nyangumi hunywa lita 400 kila siku akiwa na umri wa miezi 7 tu?  3. Mtoto wa nyangumi ana uzito wa kilo 2700 ambayo ni sawa sawa na kifaru mkubwa size ya mwisho?  4. Uzito wa nyangumi mkubwa unakadiriwa kuwa wa tani 200 hadi 300? Mmoja JIKE alikamatwa na kupimwa alikuwa na kilo 171000kg 5. Ulimi wa nyangumi una uzito wa tani 3 ambao ni uzito zaidi ya Tembo mkubwa? 6.Mdomo wa nyangumi unaweza kuhifazi tani 90 za chakula na maji akiufumbua mpa...