Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Shirika la UmemeTanzania linawataarifu wateja wake kuwa kutakuwa kuna maboresho katika mfumo wake wa LUKU

Shirika la UmemeTanzania linawataarifu wateja wake kuwa kutakuwa kuna maboresho katika mfumo wake wa LUKU

Picha
Shirika la  UmemeTanzania Taarifa kwa Umma Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kutakuwa kuna maboresho katika mfumo wake wa LUKU utakapopelekea wateja kushindwa kununua Umeme siku ya Alhamisi tarehe 24, March 2016 kuanzia saa 5 usiku hadi tarehe 25 March, 2016 saa 11 Alfajiri. Sababu za kukosekana kwa huduma hiyo ni : Matengenezo ya kuboresha mfumo wa Luku. Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza. Imetolewa na ofisi ya uhusiano TANESCO makao makuu.