Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Wosia wa Le Mutuz kwa Wanaowaza Kwenda Kuishi nje ya Nchi..

Wosia wa Le Mutuz kwa Wanaowaza Kwenda Kuishi nje ya Nchi..

Picha
Leo i want to touch this very sensitive subject ya wanaodai kuwa inapokuja kwenye diaspora huenda nina wivu na chuki na wanaoishi majuu kwa sababu nilirudi, ha! ha! ha! kwa wale ambao hamjafika majuu naomba kusema hivi:- mungu alinijalia sana confidence in myself na everything i do, nilipofika majuu kwa mara ya kwanza nilikuta wabongo karibu wote pale New York wanafanya kazi za kulinda na kutunza wazee na mataharia, siku moja mbongo mmoja alinipeleka kwenye kazi ya kutunza mataahira nilikaa kama lisaa limoja tu sikurudi tena, nikaenda shule kutafuta leseni ya cdl ya kuendesha malori makubwa sana ambayo hapa bongo hayapo, kazi ambayo inalipa haswa nikahangaika mpaka nikapata ile leseni nikiwa ninafanya kazi gas station mchana na usiku Kentucky Fried Chicken. Nilipopata leseni nikaanza kuendesha malori America nzima. Wale wabongo niliowakatalia zile kazi zao wakaanza kunizushia maneno kwamba ninauza unga, ha! ha! ha! ha!,  Kabla ya kwenda New York nilishakuwa baharia Belgium so Ul...