Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya STAA WEMA SEPETU AMUOMBEA KURA DIAMOND PLATNUMZ KWENYE TUZO ZA BET

STAA WEMA SEPETU AMUOMBEA KURA DIAMOND PLATNUMZ KWENYE TUZO ZA BET

Picha
Mbali na tofauti zao na Team zao mtandano, staa wa bongo miovie, Wema Sepetu amewaomba mashabiki wake wampigie kura mpenzi wake wa zamani, Diamond Platnumz ambaye anawania tuzo za BET kwenye kipengere cha Best International Act: Africa. Wema aliandika haya kwenye ukurasa wakewa Instagram; “Uzalendo ndo unaotakiwa… Tanzania Kwanza Vingine Baadae… Ama nene…? Vote Vote Vote….,”ameandika Wema kwenye picha ya BET Awards Mashabiki wengi  amempongeza wema kwa uzalendo aliouonesha. Katika kipengele hicho Diamond atachuana na wakali wengine kutoka Afrika kama Wizkid, Yemi Alade wa Nigeria, AKA, Cassper Nyovest na Black Koffie wa Afrika Kusini na wengine wawili.