Ni kweli Roman Abramovich amewatajia staff wa Chelsea kocha mpya? dello Sport wameandika hivi …
Bado klabu ya Chelsea ya Uingereza inaongozwa na kocha wake wa muda Guus Hiddink ambaye ataiongoza klabu hiyo hadi mwisho wa msimu, Hiddink alijiunga na Chelsea kuchukua nafasi ya Jose Mourinho ambaye alifukuzwa na timu hiyo. March 3 gazeti la Stadio Corriere dello Sport linaripoti kuwa mmiliki wa klabu ya Chelsea Roman Abramovich ameshawajulisha viongozi wote wa Chelsea ikiwemo […] The post Ni kweli Roman Abramovich amewatajia staff wa Chelsea kocha mpya? dello Sport wameandika hivi … appeared first on TZA_MillardAyo.