Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya HABARI MBAYA:Gari Latumbukia Baharini Wakati likisubiri Kivuko cha Kigamboni leo Asubuhi..Lilikuwa na Watu Wawili Ndani

HABARI MBAYA:Gari Latumbukia Baharini Wakati likisubiri Kivuko cha Kigamboni leo Asubuhi..Lilikuwa na Watu Wawili Ndani

Picha
 Habari mbaya imetufikia kuwa leo asubuhi eneo kivukoni Kigamboni kuna gari ambalo lilikuwa linasuburia kivuko ili kuvuka limeingia baharini huku likiwa na watu wawili ndani yake mpaka sasa inasemekana amepatikana mtu mmoja ambaye wakati gari linaelekea baharini aliruka , mtu wa pili ni mwanamke ambaye hajapatikana mpaka sasa na gari pia alijapatikana utafutaji bado unaendelea....