Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya HABARI ZAKE ZITAPATIKANA HUMO

WEMA AZINDUA MOBILE APLICATION YAKE, HABARI ZAKE ZITAPATIKANA HUMO

Picha
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye pamoja na  Miss Tanzania 2006 na Muigizaji maarufu wa Filamu nchini Wema Sepetu wakifunua pazia  kuashiria uzinduzi rasmi wa Wema Sepetu Mobile Application ya msanii Wema Sepetu  kwenye hoteli ya Hyyat Regency jijini Dar es salaam jana ,Katika Aplication hiyo kutapatikana habari mbalimbali za msanii huyo mwigizaji wa filamu pamoja na habari zinazohusu masuala mbalimbali ya kazi zake hii ni kwa mara ya kwanza katika nchi za Afrika Mashariki kwa msanii kuwa na Mobale Aplication yake hivyo msanii mwingine atakayekuja atakuwa anafuata nyayo za Wema Sepetu. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akimpongeza msanii  Wema Sepetu mara baada ya kuzindua Mobile Application ya msanii huyo jana. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akihutubia wakati wa uzinduzi wa Wema Sepetu Mobile Application ambapo alimpongeza Wema kwa hatua kubwa aliyofikia ya kuwa msa...