Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya KAMA ULIZIKOSA HIZI NDIO PICHA ZA UZINDUZI WA MZIGO MPYA WA SUPER STAR WEMA SEPETU NA WAZIRI WA HABARI NAPE LIVE

KAMA ULIZIKOSA HIZI NDIO PICHA ZA UZINDUZI WA MZIGO MPYA WA SUPER STAR WEMA SEPETU NA WAZIRI WA HABARI NAPE LIVE

Picha
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye  akizindua mfumo wa kisasa kabisa wa msanii wa filamu hapa nchini,WEMA SEPETU MOBILE APPLICATION mbele ya waandishi wa habari, katika hotel ya Hyatt Regency jijini Dar.Picha na Geofrey Adroph(Pamoja Blog) Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh,Nape Nnauye akizungumza kabla ya kuzindua mfumo wa kisasa kabisa wa msanii wa filamu hapa nchini,WEMA SEPETU MOBILE APPLICATION mbele ya waandishi wa habari,katika hotel ya Hyatt Regency jijini Dar. Msanii wa Bongo Movie na aliyewahi kuwa Miss Tanzania Maadam Wema Sepetu akizunguma mbele ya waandishi wa habari katika hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar kabla ya kuzindua huduma yake WEMA SEPETU MOBILE APPLICATION,ambayo itakuwa ikijumuisa matukio yake yote sambamba na video mbalimbali yatakayowekwa kwenye mfumo wa teknolojia ya kisasa kupitia simu za mikononi. Mtaalamu wa huduma za mitandao kutoka Push Mobile, Haji Yussuph akifafanua jambo kuhusiana na huduma h...