Meseji Zingine za Mwanamuziki Harmonize na Jackline Wolper Zavuja Mtandaoni
Hii ni post nyingine inayosambaa mitandaoni ikionyesha maongezi ambayo sio ya moja kwa moja kati ya Jackline Wolper na Harmonize. Ni Couple mpya inayozungumziwa zaidi Bongo kwa sasa.