Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya BREAKING: Waziri Jenister Mhagama kafanya maamuzi NSSF usiku huu

BREAKING: Waziri Jenister Mhagama kafanya maamuzi NSSF usiku huu

Picha
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Jenister Mhagama ametengua uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Dkt. Carina Wangwe uliotangazwa leo Dar es salaam. Taarifa iliyotolewa usiku huu imeeleza kuwa uteuzi huo umetenguliwa kutokana na kutokamilika kwa baadhi ya taratibu, uteuzi […] The post BREAKING: Waziri Jenister Mhagama kafanya maamuzi NSSF usiku huu appeared first on TZA_MillardAyo.