Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya MACHO YANAPOTOA MACHOZI NA SURA YENYE TABASAMU

LITTLE MOZART, MACHO YANAPOTOA MACHOZI NA SURA YENYE TABASAMU

Picha
Na Brian Marian Kama kuna kiumbe niliyewahi kumshuhudia katika uso wa dunia akileta ladha ya ubunifu ndani ya uwanja basi Tomas Rosicky ni mmoja wapo. Alikuwa mbunifu wa kupiga pasi zile za autor, hakika machozi yake, jasho na damu vyote alivipigania katika soka lake ila maisha ya mpira yalimkataa. Wakati mwingine naumia sana napomwona Mozart akiwa ameishia njiani wakati thamani ya miguu yake ilikuwa imejaa virutubisho halisi ndani ya miguu yake. Hata Edo Kumwembe anajua thamani ya miguu yake, natamani ningekuwa karibu na miguu yako niweze kutoa machozi pembeni yako ndani ya Emirates jioni ya leo. Safari ya mwanadamu wakati mwingine husubiri matumaini ya kile akipiganiacho ili kuweza kumletea wepesi katika mafanikio yake. Mozart napomwona akitoa machozi, huku sura yake yenye tabasamu likionekana ndani yake.Walicheka na wewe,walilia na wewe katika kipindi chako chote cha majeruhi yako ndani ya club yako hakika utakumbukwa sana kwa ufundi wako ndani ya uwanja. Miak...