BREAKING NEWZZ....Jiji la Mwanza Lalipuka kwa shangwe...Wenje Ashinda Kesi ya Pingamizi Lililowekwa na Mabula Mahakamani
Aliyekuwa Mbunge wa Nyamagana Ezekiah Wenje ameshinda pingamizi aliyowekewa na mbunge wa Nyamagana Stanslaus Mabula Kesi ya msingi itaanza kusilizwa tarehe 6|03|2016. Jiji limesimama kwa muda watu wanashangili kwa furaha mama ntilie machinga ..wanashingilia taarifa kamili tutawaletea baadae