Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya MREMBO JOKATE AFUNGUKA MENGI KUHUSU DIAMOND NA ALI KIBA

MREMBO JOKATE AFUNGUKA MENGI KUHUSU DIAMOND NA ALI KIBA

Picha
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, Jokate Mwegelo amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu issue kibao zikiwemo brand yake ya Kidoti na nini kipya kinakuja, muziki wake, mitandao ya kijamii, Alikiba na dili lake la Sony pamoja Diamond na tuzo za BET. Amezungumza na kipindi cha Super Mega cha Kings FM ya Njombe kinachoendeshwa na Divine Kweka. Kuhusu Alikiba na mkataba wake na Sony Music Watanzania wamsupport tu. Vijana wanapokuwa wanafanya kazi za sanaa na kazi zao zinatambulika kimataifa na wanapata deals za kimataifa ni hatua nzuri kwetu sisi kama nchi na inatia moyo kwa wale wanaochipukia kwamba sanaa inaweza ikawapeleka sehemu mbalimbali duniani na kukutana na watu mbalimbali na wakawa na mafanikio pengine kuliko yale waliyoyafikiria. Kwahiyo hawa watu tuwachukulie kama watu wanaotufungulia milango, wanatuonesha njia, wanachonga barabara sisi tunafuata tunateleza tu. Sisi ambao tunafuatia inabidi tupige sasa hatua kubwa zaidi ya hapo. Kuhusu Diamond na BET Wito wangu wampigie...