Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya MKUU WA MKOA WA MBEYA ATEMBELEA KARAKANA ZA KUTENGENEZA MADAWATI

MKUU WA MKOA WA MBEYA ATEMBELEA KARAKANA ZA KUTENGENEZA MADAWATI

Picha
 Mkuu wa Mkoa wa mbeya atembelea karakana za kutengeneza madawati na kuongea na wenyeviti wa vijiji, watendaji wa vijiji, kata na wakuu wa idara Amewashukuru wananchi, wafadhili na halmashauri kwa kazi nzuri ya utengenezaji wa madawati Amewataka watengeneza hi wa madawati wazingatie ubora na kwa Mkoa wa Mbeya zoezi utengenezaji madawati likamilike trh 30 mei, 2016