Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya KUMBUKUMBU ZANGU: PAMBA FC ‘WANA KAWEKAMO TOUT PUISANT LINDANDA’ NDICHO KILIKUWA CHUO CHA SOKA TANZANIA

KUMBUKUMBU ZANGU: PAMBA FC ‘WANA KAWEKAMO TOUT PUISANT LINDANDA’ NDICHO KILIKUWA CHUO CHA SOKA TANZANIA

Picha
Kikosi cha Pamba cha miaka ya 1980. Nawatambua baadhi kwenye picha (nisahihisheni). Waliosimama kutoka kushoto: Madata Lubigisa, Rajabu Musoma, Beya Simba 'Nissan Patrol', Nteze John, Kitwana Selemani, Philemon 'Fumo' Ferdinand Felician, Paschal Mayala na Paul Rwechungura.  Walioketi kutoka kushoto: George Gole, Khalfan Ngassa, Ally Bushiri, Alphonce Modest Pambamotosapi, Mao Mkami 'Ball Dancer', Selehe Mohammed, Hamis Nyembo na Nico Bambaga 'Machine'. Wachezaji wanne katika kikosi hiki - Musoma, Nteze, Ngassa na Modest - waliichezea Simba na wawili kati yao - Fumo na Bambaga - walichukuliwa na Yanga. Na Daniel Mbega KHALID Bitebo ‘Zembwe’, James Ng’ong’a, Anthony Nyembo, Madata Lubigisa, Ibrahim Magongo, Joram Mwakatika, Juma Mhina, Beya Simba, Abdallah Bori, Khalfan Ngassa, John Makelele ‘Zig Zag’, George Magere Masatu, Juma Amir Maftah, David Mwakalebela, Kitwana Selemani, Mao Mkami, Msonga Rashid, Hamza Mponda, Raphael Paul, George ...