Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Bunge Latoa Msimamo Wake Kuhusu Naibu Spika Tulia Ackson Kukataliwa na Kambi ya Upinzania

Bunge Latoa Msimamo Wake Kuhusu Naibu Spika Tulia Ackson Kukataliwa na Kambi ya Upinzania

Picha
Katibu wa Bunge, Dk. Thomas Kashililah Katibu wa Bunge, Dk. Thomas Kashililah, amesema msimamo wa wabunge wa upinzani kutohudhuria vikao vinavyoongozwa na Dk. Tulia hauwezi kuathiri shughuli za Bunge na uongozi wa Bunge hauoni tatizo la Dk. Tulia kwani ni kiongozi mahiri anayesimamia kanuni wakati wa kuliongoza Bunge. Neno moja kwa Katibu wa Bunge