Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya MREMBO RUBY AAMUA KUMLUDIA MUNGU ANZA NYIMBO ZA GOSPEL TENA

MREMBO RUBY AAMUA KUMLUDIA MUNGU ANZA NYIMBO ZA GOSPEL TENA

Picha
Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Ruby ambaye alianza kuimba muziki kupitia kanisani kwenye kwaya amefunguka na kusema kuwa kuna baadhi ya makanisa Tanzani hata ukiingia ndani unahisi unafiki moja kwa moja. Ruby Ruby akiongea kwenye kipindi cha Planet bongo cha East Africa Radio alisema yapo baadhi ya makanisa ukiingia ndani unaona kweli uwepo wa Mungu ndani yake na kusema lakini yapo makanisa mengine ukiingia unaona unafiki wa hali ya juu. "Unajua mimi nafanya muzuki huu wa bongo fleva kama kazi hivyo hata watu wanatakiwa kuelewa hii ni kazi yangu kama ambavyo wao wanakwenda kazini Jumatatu mpaka Ijumaa na mimi ndiyo hivyo hivyo, hivyo kuna wakati mwenyewe natamani sana kuimba gospel ila nabaki naimba moyoni ila nime miss kuimba mbele ya watu kama zamani nikiwa kanisani" alisema Rubby Mtangazaji alitaka kufahamu kama msanii huyo alishawahi kuitwa kutoa huduma kwenye kanisa lolote lile kama muimbaji wa nyimbo za injili ndipo alipofunguka na kusema kuna makanisa...