Njia 10 Ambazo Wanawake Hupenda Kutongoza Wanaume Bila Kujua Kama Huchukiza
Wanawake Utongozaji ni jambo ambalo hutumiwa na kila mtu yule. Kuna njia kadha wa kadha ambazo zinaweza kutumiwa kufanya mtu aingie katika mahusiano ya kudumu na yeyote yule. So watu hutongoza vipi? Hivi kuna kanuni zozote za kutongoza? Je kuna sheria flani ambazo watu hufuata ambazo hutumika? Ama huwa inakuja tu yenyewe wakati wa kutongoza? Kwa wanawake, kutongoza si jambo la lazima, kwa sababu kuna asilimia kubwa ya mwanaume ambao huanzisha kutongoza. Lakini wakati mwingine inatokea kuwa mwanamke anapaswa kuchukua hatua ya kuanza kumtongoza mwanaume. Wakati ambapo mwanamke anahisi ya kuwa hapati atenshen inayotakikana, anaweza kuamua kuchukua hatua nzito ambayo inaweza kufanya kazi ama kutoweza, kwa lengo moja la kuhakikisha kuwa anaonekana na mwanaume. Mara nyingi hatua hizi huwa zinatokana na maonyesho ya runinga au filamu. Ok. kuna njia kadha wa kadha ambazo mwanamke hutumia kumtongoza mwanaume. Zile ambazo hujulikana sana ni kama: kuangalia machokumnunulia mwanaume kinywaj...