Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya MAMBO 5 USIYOYAJUA KUHUSU DIEGO SIMEONE ‘EL CHOLO’

MAMBO 5 USIYOYAJUA KUHUSU DIEGO SIMEONE ‘EL CHOLO’

Picha
Diego Simeone ni kocha wa Atletico Madrid ambaye tarehe 28 Mei,atakiongoza kikosi chake kucheza fainali ya UEFA Champions League dhidi ya Real Madrid. Mfahamu Diego Simeone kwa undani zaidi; FAMILIA YA MPIRA Baba yake Carlos Alberto Simeone alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu wa ridhaa. Kaka yake na mdogo wake wanacheza River Plate. Vile vile Dada yao ni mmoja wa wakala wao. MAISHA YA SOKA Diego Simeone alikuwa anacheza kama kiungo mkabaji na alianza maisha ya mpira katika timu ya Velez Sarsfield nchini Argentina kisha akaenda Sevilla, Inter Milan na Lazio ambako alipata mafanikio makubwa kwa kushinda makombe 4 ndani ya mwaka mmoja. Mwaka 1994 hadi 1997 aliitumikia Atletico Madrid kisha kurudi tena mwaka 2003 hadi 2005. AMKUTA TORRES NAHODHA Fernando Torres ni mmoja wa wachezaji tegemezi wa kikosi cha Atletico Madrid kinachonolewa na Diego Simeone. Baada ya Simeone kurejea kwa mara ya pili Atletico Madrid alimkuta Torres ndiye nahodha wa timu hiyo baada ya kuwa mfungaji bora wa ...