Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Jinsi Ya Kumsisimua Mwanamke Kabla Ya Kulala Naye

Jinsi Ya Kumsisimua Mwanamke Kabla Ya Kulala Naye

Picha
Mahusiano Wakati umemualika mwanamke sehemu unayoishi ama wakati umetoka deti katika bar, unapaswa kujua ya kuwa kumsisimua mwanamke huanza kabla ya nyinyi wawili kulala pamoja. Unapaswa kumsisimua kuanzia nafasi ya kwanza ambayo utaipata kutoka kwake. Kufanya hivyo kutamfanya akutake hata zaidi na kumfanya ajiandae na mapema kabla hata kulala naye. Lakini ni mbinu gani inayoweza kutumika kumsisimua mwanamke kabla hamjalala pamoja? Zama nami… Kutumia maneno Maneno yanaweza kumsisimua mwanamke asilimia mia. Mwanzo wanawake husisimuliwa na vitu wanavyosikia zaidi kuliko wanavyoona. Hii ndio tofauti kuu kati ya jinsi ya kumsisimua mwanaume na mwanamke. Hauhitaji kuonekana mchafu wakati ambapo unamsisimua mwanamke kwa kutumia maneno. Mwanzo anaweza kusisimulika na jinsi ambavyo anakusisimua wewe. Unaweza kumwambia maneno kama “Siwezi kungojea ile siku ambayo nitakuwa pekeangu na wewe”, “Nimeanza kuingiwa na mawazo nikifikiria hio nguo uliyovaa inaficha nini...