Mrembo Jack Wolper Afunguka Kuhusu Pete ya Ndoa...Adai Amejifunza Kusugua Goti Mambo ya Ndoa Mungu Ndio Anajua..
Jack Wolper Ametoa Somo zuri kuhusu pete ya uchumba wanazovalishwa wadada na kufungwa nazo...Ameweka picha hii hapa chini na kuandika maneno yafuatayo: "Trully witchcraft and am sure wanaume wanafanya hivi ili awe na uhakika upo hapo tu unamsubiri wakati yeye anaponda maisha yake Na mwisho wa siku wengine wanaenda kuoa kwingine sio alikovalisha pete Binafsi naomba tujitahidi sisi wakina dada (hata mimi najishauri) kutokusimamia ahadi pekee and put your life pending.. You love him COOL He loves you back EVEN BETTER ILA ilo lisikufanye ukasimamisha maisha yako kwajili yake... Anataka kukuchumbia kubalianeni whats way forward then Mjipange kwa pamoja kuelekea lengo lenu... Engagement sio one person goal (sio wajibu wa mwanaume pekee kusimamia uchumba wenu na kujua lini utafkia ndoa, ni maisha ya wote wawili na hivi vitu ulizeni hata wazazi wetu VINAPANGWA, vinajadiliwa na vinawekewa kipindi cha kutimiza) mwanzo tamaduni ilikua ni kuchumbia kwa muda tu then n...