Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Rais Magufuli Afungua Rasmi Kikao Kazi Cha Makamanda Wa Polisi....Akerwa na Mikataba Mibovu Inayolidhalilisha Jeshi la Polisi

Rais Magufuli Afungua Rasmi Kikao Kazi Cha Makamanda Wa Polisi....Akerwa na Mikataba Mibovu Inayolidhalilisha Jeshi la Polisi

Picha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amelitaka Jeshi la Polisi nchini na Ofisi ya Mwendesha Mashitaka kujirekebisha kwa kutekeleza wajibu wao huku wakitanguliza maslahi ya taifa. Rais Magufuli ametoa maagizo hayo janatarehe 29 Aprili, 2016 wakati akifungua kikao cha kazi cha Makamanda wa polisi wa mikoa, Mawakili wafawidhi wa serikali  wa Mikoa na Wakuu wa upelelezi wa Mikoa na Vikosi, kinachofanyika kwa siku mbili katika ukumbi wa Mikutano wa Dodoma uliopo katika eneo la Tambukareli Mjini Dodoma.   Awali kabla ya kutoa hotuba yake Rais Magufuli aliwapa nafasi Makamanda na Mawakili Wafawidhi hao kutoa maoni yao juu ya changamoto zinazowakabili katika kutekeleza wajibu wa kufanya upepelezi na kuendesha mashitaka, hususani kujua sababu za kuchelewesha kesi za makosa ya jinai, ambapo wamedai ufinyu wa bajeti ndio sababu kubwa ya kucheleweshwa kwa kesi za hizo.   Kufuatia kutajwa kwa changamoto hiyo Rais Magufuli ameahidi kuhakikisha an...