Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya Maproducer wa MJ Records Wamtetea Sugu Kupitia Kipindi Cha Friday Night..Wadai Wimbo wa Freedom ni Halali yake....

Maproducer wa MJ Records Wamtetea Sugu Kupitia Kipindi Cha Friday Night..Wadai Wimbo wa Freedom ni Halali yake....

Picha
Utata uliokuwa umeghubika umiliki wa ngoma mpya ya Mr Two a.k.a Sugu inayokwenda kwa jina la Freedom umemalizwa katika show ya FNL baada ya producer wa ngoma hiyo Daxo Chali kuthibitisha rasmi kuwa ni ngoma halali ya Sugu.  Hatua hiyo imekuja baada ya kuwepo kwa malalamiko kutoka kwa msanii Mr Blue aliyekuwa akidai kuwa Sugu amebadilisha ngoma yake aliyokuwa amemshirikisha, na kuondoa mashairi yake bila ya ruhusa yake, na kasha kuitoa kwenye media.  Akiwa katika kipindi cha FNL kinachoruka kupitia EATV usiku wa Ijumaa, producer wa ngoma hiyo kutoka MJ Records Daxo ambaye pia ndiye aliyekuwa ametengeneza ngoma ya Mr Blue na Sugu, alisema kuwa alichokifanya ni kuchukua ‘beat’ ileile na kumpa Sugu kwa ajili ya ngoma nyingine.  Daxo amesema alifanya uamuzi huo kwa kuwa ‘beat’ ile ni mali yake, na pia aliona kuwa ngoma aliyokuwa amefanya Mr. Blue haikuwa “serious” hivyo baada ya kupata wazo la kutoa ngoma ambayo ni serious kutoka kwa Su...