Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya AFUNGUKA MAZITO

DIAMOND PLATINUMS ATOA KULI NZITO KUHUSU NEYO BAADA YA KUPIGA NAYE SHOW,AFUNGUKA MAZITO

Picha

SUPER STAR WASTARA AGOMA KUOLEWA NA KIJANA,AFUNGUKA MAZITO

Picha
Mahari yaliyotolewa wiki mbili zilizopita kwa staa wa filamu Bongo, Wastara Juma, yamerudishwa kwa mwanaume aliyetaka kumposa, Juma Mbega, kwa kile kilichodaiwa kuwa msanii huyo amepinga vikali kuolewa na kijana huyo ambaye naye ni mwigizaji wa sinema za Kibongo.Wiki mbili zilizopita Mbega alimtuma mshenga wake, Hamis Ramadhan kwenda kwa akina Wastara  kupeleka mahari ya shilingi milioni tano, akitaka kumuoa staa huyo baada ya kuvunjika kwa ndoa yake na Mbunge wa Donge kwa ‘leseni’ ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Sadifa Juma. Akizungumza kwa uchungu, Mbega alisema kuwa aliumia kupokea habari mbaya kutoka kwa mshenga wake huyo kwamba mwanamama huyo aliyarudisha mahari hayo na kwamba hataki kuolewa kwa sasa.  “Namjua Wastara vilivyo, nilitamani sana mwanamke kama yeye kwa kuwa najua wengine hawawezi kuishi naye kwa upendo zaidi ya aliyekuwa mtu wangu wa karibu, marehemu Sajuki (Juma Kilowoko) na mimi mwenyewe,” alisema Mbega aliyekuwa rafiki mkubwa wa S...