Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya CUF: Prof. Ibrahimu Lipumba Unaweza Kugombea Uenyekiti wa Chama.

CUF: Prof. Ibrahimu Lipumba Unaweza Kugombea Uenyekiti wa Chama.

Picha
Chama cha wananchi CUF kimesema kuwa, aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho Prof Ibrahimu Lipumba, anaweza akagombea tena uenyekiti wa chama hicho kwani ana uwezo mkubwa. Hayo yamesemwa na Kaimu Katibu Mkuu wa CUF-Bara alipokuwa akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam. Uchaguzi utafanyika 21 August 2016