Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya na vitu wanavyotakiwa kufanya Atletico kumzuia asiwadhuru

UCLFinal: C. Ronaldo – Rekodi 2 anazoweza kuzivunja, ataweza kuondoa ukame wa San Siro, na vitu wanavyotakiwa kufanya Atletico kumzuia asiwadhuru

Picha
Cristiano Ronaldo alifunga mara ya mwisho Real Madrid walipokutana na Atletico katika fainali ya UEFA Champions League, lakini je atafanikiwa kuwafunga tena? Tuangalie takwimu muhimu kuhusu Cristiabo Ronaldo kuelekea mchezo huu. 1. Rekodi za kuvunja Ikiwa kuna rekodi za kuvunja basi Cristiabo Ronaldo atajaribu kuzivunja; kwenye fainali ya Jumamosi kuna kuna rekodi kubwa tatu za kuvunja. CR7 ameshafunga magoli 16 katika mashindano haya msimu huu na anahitaji goli lingine ili kuifikia rekodi yake ya kufunga magoli mengi zaidi katika msimu mmoja wa UCL – rekodi aliyoiweka msimu wa 2013/14. Pia anaweza kuifikia rekofi ya Lionel Messi kuwa mfungaji bora katika misimu minne mfululizo. Anaweza pia kumzidi Messi kwa kuwa mchezaji wa kwanza kufunga katika fainali 3 za Champions League. Ronaldo ni mmoja ya wachezaji 16 ambao wameshafunga katika fainali mbili za ulaya, lakini pia ana safari ndefu ya kuifikia rekodi ya Alfredo di Stefano ya kufunga magoli katika mechi 5 za fainali za ul...