Je Unajua Sehemu Zinazomfanya Asisimke Katika Mapenzi.
Wanaume Kila binadamu na hisia na zake, nasema hivyo nikimaanisha kwamba unaweza ukamkuta mwingine wakati akiguswa shingo anashtuka hadi kudondoka mwingine wala hajishughulishi!! Maisha ya mapenzi yanahitaji ufundi ili yaweze kuwa furaha ya maisha katika maisha yenu . La sivyo utajikuta unaibiwa km si kumkera mwenzi wako! Wapendwa, kuwa katika mahusiano ya furaha aihitaji kwenda kwa waganga wa kienyeji au kuwa na bahati kama wengine wanavyodhani bali ni kujua unachohitaji kutoka kwa mpenzi wako na ufahamu jinsi ya kunfanya afurahi. Naamini tendo la ndoa si kitu kigeni masikioni mwa watu wengi waliopo kwenye mahusiano halali. Tendo hili ni raha na ni kama uti wa mgongo katika maisha ya wapenzi, lakini kuna watu wapo kwenye mahusiano lkn hawalifurahii. Kuna watu wanafanya mapenzi katika mtindo ambao hauna tofauti na kubakana. Hivi uliwahi ona wapi Simba na Yanga wakacheza mechi bila maandalizi? hakika hakuna kitu kama...