Machapisho

Inaonyesha machapisho yenye lebo ya NJIA 5 ZA KUMFANYA MWANAMKE AKUFUKUZIE BAADAYA KUMUONESHA HISIA

NJIA 5 ZA KUMFANYA MWANAMKE AKUFUKUZIE BAADAYA KUMUONESHA HISIA

Picha
Na Martha Magawa Najua huwa tunatumia muda  mwingi sana vijiweni tukiongelea, sehemu gani nzuri ya kukutana na wanawake, jinsi ya kuwatongoza na kuanzisha maongezi, nini cha kuongea na kufanya ili akuelewe na mrembo awe wako, Lakini hayo yote ambayo huwa tunayaongelea huwa ni kama theruji kwenye mlima kilimanjaro, ila volukano yenyewe huwa ni jinsi ya kuwafanya wanawake waanze kukuhangaikia na kukufuatilia, na hizi hapa ni njia tano za kuwa wapekee na kuwafanya watoto wenyewe wa kike wawe wanakuhangaikia. Naomba nitilie mkazo jambo moja, njia hizi hakikisha hauzichukulii juu juu, zielewe na zitunze vizuri kwenye akili yako, maana unahitaji kila kitu uwe umeshakielewa kwa yote tuliozungumzia hapa kiumeni kuhusu wanawake. Namba 1. Tengeneza mvuto unaovutia kwake mara ya kwanza unaongea nae. Sifa ya mwanaume wa kweli huwa ni kujiamini, na mwanamke sikuzote anavutika na mwanaume wa kweli, onyesha kujiamini na kuwa mkufunzi wa...